Monday, January 31, 2011

MAFIAN FISH LOUNGE!!

MWISHONI MWA WIKI MAFIAN FISH WALIBADILI MANDHARI KWA AJILI YA USIKU MAHSUSI WA WHITE PARTY!!...NA HIVI NDIVYO PALIVYOONEKANA

NA KATIKA PITA PITA ZANGU NIKAKUTANA NA GIRLS NIGHT OUT!! AMBAPO WALIKUWA WANASHEREKEHEA BIRTHDAY YA SYLVIA....kwa style yao
                                                    BIRTHDAY GAL......serena ;)
                                           Maza house ye akiwa kimtoko wa White Party


                                YES ITS GIRLS NIGHT OUT.....maisha yenyewe ndo haya haya!!

NAWEWE NA WASHKAJI ZAKO MKITAKA KUJIPA RAHA MNAWEZA ZUKA MAFIAN FISH LOUNGE, KUJIPA RAHA SAMBAMBA KUJIACHIA MAANA UPANDE WA PILI DJ PETER MO HUWA ANASABABISHAAA....ni hupati pumzi MWANZO MWISHOOO
WANAPATIKANA::MASAKI,KAHAMA ROAD KARIBU NA OFFICE ZA BARRICKWASILIANA NAO::0612 623426, 0715 376136, 0652 680306
kwa raha zenu!

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More