Thursday, January 27, 2011

MAFIAN FISH LOUNGE!!.....kijiwe tulivu kwa watu nadhifu


                                           
HAYA WADAU....LEO NAWATAMBULISHAAA KWENU KIJIWE KINGINEEE CHA UKWE'E.....NI MAFIAN FISH LOUNGE!! ILIYOPO MASAKI...YES NDIO HUKO HUKO USHUANI!! AMBAKO KUNA MISOSI BOMBA YA KILA AINA SAMAKI NDO KWENYE  ,KUKU   WA FOIL NK ...MISHKAKI  YA KILA AINA YA NYAMA KUANZIA ZILE NYEUPE HADI NYEKUNDU....hakuna kisingizio kwao....NA MWNGE HAURUKI KIJIJI.....NA BILA KUSAHAU SUPU YA PWEEEEZZZZAA ndio mpeleke akanyweeee

MBALI NA MISOSI KUNA SEHEMU MURUA TULIVU NA YENYE HADHI YAKO AMBAPO UNAWEZA FANYIA SHUGHULI YAKO YA BIRTHDAY,UNA KITU CHA KUZINDUA......GIRLS OUT NA WASHKAJIIII  tunaelekea hukooo

WANAPATIKANA::MASAKI,KAHAMA ROAD KARIBU NA OFFICE ZA BARRICK
WASILIANA NAO::0612 623426, 0715 376136, 0652 680306
 YES!! NDANI KUNA BAR ILIYOSHEHENI VINYWAJI VYA KILA AINA U NAME IT!!....KWA WAZEE WA KAUNTA MMESHAPANGIWAAA VITI. VIREFU.....
                                  
 UKIAMUA KUSIMAMA PIA HUKU UNAJIPATIA KINYWAJI PIA RUKHSA....MAMBO YA COCKTAIL BANAAAAA
 WAKUKETI HUKU UNACHEKI RUNINGA WALE WENYE TIMU ZENU...MLOCHANGIWA KIJIWE NDO HIKII
 UKIWA NDANI KUNA ANGLE TOFAUTI....ZA KUBARIZIIII
                                            YAP NI SOUND PROOF.....FULL KIPUPWE
        SASA HUMU NDANI NDO MAMBO YOOOTE....FULL KIYOYOZIIII,SOUND PROOF WA NJE WA NJE...WA NDANI WA NDANI!!
 KUNA SEHEMU MAHSUSI NA TULIVU KWA AJILI YA KUPATA MSOSI NA KINYWAJI
 JIKO LA KUTOSHA...KUPOKEA ODA ZOZOTE...NA WANAPOKEA ODA ZA NJE...HIVYO UKIWA NA KASHUGHULI KAKO HEBU LISHA WAALIKWA SAMAKI NA KUKU WA FOIL
 MISOSI YAO NI YA UKWE'E MI NILIANZA NA KUKU WAFOIL.....NA KUNA SAMAKI WA FOIL PIA.....NITAENDELEA KUKULETEA VYAKULA TOFAUTI VINAVYOPIKWA KWA UPISHI TOFAUTI NA WENYE LADHA NZURI
             PARKING IPO YA KUTOSHA NA YENYE ULINZI WA KUAMINIKA


0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More