Thursday, January 27, 2011

NEW ARRIVALS.....@VIATUZI!!

MABINGWA WA KUUZA VIATU VIKALI TOKA UINGEREZAAA...SASA WAMESHUSHA MZIGO MPYAAAAAU YA KILA AINA KUANZIA VILE VYA SPECIAL OCCATIONS.....KAMA HARUSI, MAOFISINI  VYA MTOKO NA FLATS ZA UKWELI NJOO UKUTAKNE NA GLADIATOR STYLE MPYAAAA 

WANAPATIKANA:: SEA VIEW PLOT NO.10
MAWASILIANO:: 0715 850855

                               
WARI WANGU MPOOOO MSHINDWE WENYEWE KUPENDEZA SIKU YENU HARUSI....... JIPATIE PICHA UTAKAVYOFUNIKAAAA.....kwenye photo shoot msisahau lile pozi letu la viatuziiii


                                      

VISINGIZIO VYENU VILE OOOH MIE ZEZE SIWEZI TEMBELEA VIATU VIREFUUU...HAKUNA TENA KILA UREFUUU UTAPATAAA MWARI WEEE....USIPOPENDEZA UNA DHAMBI WE
                   MAHARUSI HAKUNA KUSINGIZIA RANGI AU VIATU HAKUNA MSHINDWE WENYEWEEEEE......MPEWEEE NINI TENAAAA.....Hapo unabakiza pedicure tu!!

SASA ITABIDI MKISHAPATA KIATU NDO MPANGE RANGI YA SHUGHULI....WAPATIE PICHA MAIDS WAKO KAMA SI WEWE KWENYE SENDOFF AU KITCHEN PARTY.....

 wale wa flats......tumekumbukwa ni za ukweliiii ....vya UKWE'E hadi ikulu ninaruhusiwa

                                          VIATUZIIIIIII NA VITUPIOOO


 mamamamammam   hatariiiiiii ni ile lace jamaniiiii........naendelea na rehesal ya kuvaa mning'inio mie HICHI NI KITU CHA VELVET....NA HII NDO ILE BOLD COLOR YETU YA GREEN ILIYOISHIKAAA RED CARPET YA GOLDEN GLOBE AWARD MAJUU...sasa ndani ta tzzzz

                                        
                                                    kitu cha tai  hapo kati
SHOES: :VIATUZI
ACCESORIES:: VIATUZI
DRESSED BY::CHICHIA
PHOTOSHOT::GRM PRODUCTION  
STYLIST::CHICHIA                                       

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More