Sunday, January 30, 2011

ZAIDI YA WAGONJWA 263 WA FESTFULA NA MDOMO WA SUNGURA WAMENUFAIKA NA HUDUMA YA VODAFONE M PESA

         Mkurugenzi msaidizi wa hospitali ya CCBRT Haika Mawala akimkaribisha Mkurugenzi wa mahusiano na Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wa pili toka kushoto akiambatana na Mkuu wa kitengo cha Safaricom Foundation-Kenya Sanda Ojiambo walipotembelea hospitali ya CCBRT kwa lengo la kujionea jinsi gani huduma ya Vodafone M pesa inavyosaidia wagonjwa wa fistula na mdomo wa sungura kwa kutumiwa fedha za nauli na matumizi ya njiani kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini na kuja kutibiwa hospitalini hapo zaidi ya wagonjwa 263 wamenufaika na huduma hiyo.


0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More