Sunday, February 13, 2011

AIRTEL MEDIA DAY BONANZA

MSONDO NGOMA BABA YA MUZIKI NDIO WALIOTUTUMBUIZA.....BURUDAN MWANZO MWISHOOO
WANAHABARI WALICHEZA MICHEZO MBALIMBALI, WALIKULA NA KUNYWA .

KWA NIABA YA MWENYEKITI NA WANABLOGGER WOOTE NATOA SHUKRAN KWA AIRTEL KUTAMBUA MCHANGO WETU KATIKA HABARI NA KUTUALIKA SISI KAMABLOGGER TANZANIA BLOGGERS FORUM 'TBF'.
LIBENEKE LIENDELEE

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More