Tuesday, February 1, 2011

ANAULIZA....KUFUNDWA NI UHUNI?!!

                                                                Pole na kazi dada

Nahitaji kujua mtizamo wa wengi kuhusu swala la kufundwa hasa mambo ya ndani hata viuno ikiwezekana.Mm napenda sana kujua utaalam wa hayo mambo hila wengi waekuwa wakiniambia kuwa eti mpaka uwe unaolewa au la sivyo ni kujifunza uhuni.Lkn kwa upeo wangu binafsi mm nina nia ya dhati kujifunza.na pia ningependa kupata ushauri,contact au hata kujua gharama za ufundaji.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More