Monday, February 28, 2011

ANGALIZO.....BELTS....'JIKANDA'

HAYA MASHOST NIMEONA HILI LISIPITE KAVU SIKU MBILI HIZI NAONA JIKANDA LINACHUKUA CHATI....MAANA NAONA JIKANDA LINAVIKWA HADI KWENYE KITENGE...NA LINAPENDEZA... HADI KWENYE NGUO YA USIKU NDO NIKASEMA NIPERUZI JINSI YA KUUVAA NA WATU WANAUVAA VIPI...NDO NAAMBIWA HAIJALISHI MNENE AU MWEMBAMBA , MPANA AU MNENE BORA TU UKUTOSHEEE...WAWEZA KUWA WA NGOZI AU PLASTIC, WENYE STONES AU STUDD

WANASEMA BELT SI YAKUSHIKILIA SURUALI AU SKET ISIVUKE TU BALI MKANDA NI KINOGESHI KAMA KINOGESHI CHENGINE  KAMA HERENI,CHENI,PETE NK

NA WANASEMA MKANDA KAZI YAKE NAKSH TU NA KUPONGUZA MSISITIZO WA MAHALA FULANI...UKIVAA ZAKO TOP AU GAUNI PANAPANA KUONESHA AU KUKISAKA KIUNO TUPIA KANDA, UKAONA UMEVAA NGUO COLOR COMBO AU RANGI MOJA SAANA TUPIA JIKANDA ILI UJIFUNUE BIBI  ...we can just add an inexpensive belt to give our wardrobe a boost.....NA JIKANDA HUONDOA TUMBO ATI... Its so much hotter to show off a little bit of curve. Its feminine, pretty, attractive. uko nyonyo....
Mengineyo ya kazi ya mkanda mtajaziliza nanyi wadau


JIKANDA HILOO JUU YA TENGE

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More