Monday, February 7, 2011

CITY WOODLAND.........@CITY FURNITURE!!


HAYA HAYA WADAU......LEO NAWATAMBULISHA KITU KIPYA NA UPYA WAKE.....NI CITY WOODLAND  MAHALA AMBAKO NDO MAMBO YOOTE.....NI WATENGENEZAJI WA   NYUMBA YAKO...MI NAWAITA WAZEE WA FINISHING!!....

UKITAKA TENGENEZA JIKO, MAKABATI  , MADIRISHA NA MILANGO WAO NDIO WATATII KIU YAKO, ZINATUMIKAAA MBAO ZA TANZANIA MNINGA NA NYENGINEZO...MUDA WAKUJIVUNIA VYETU UMEFIKA

ZAIDI YA IYO PIA UTAPATA FURNITURE BOORA ZA OFFICE WATEMBELEE KISHA NITONYE NIJE KUTHAMINISHA MIE

WANAPATIKANA::NYERERE ROAD KABLA YA MATAA YA CHANG'OMBE NA BAADA YA MATAA YA KAMATA JUU YA CASH & CARRY SUPER MARKET

WASILIANA NAO::0715 786 199
 HIZI NI BAADHI YA KAZI AMBAZO WAMEFANYA.....WASILIANA NAO HUTOJUTAA

                                                  FINISHING YAO NI YA UKWE'E ....kitu cha polishhhh   

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More