Monday, February 7, 2011

ESTHER ULAYA HAIR DO

YES!! mama zetu na bibi zetu wenyewe walikuwa wanasifia saana hizi nywele za uzi wanasema zinanyooosha saana nywelee..... enzi izo kama hujasuka uzi basi UMECHOMA NYWELE (nakumbuka my late mum alikuwa na kitana sijui kiwapi ) kwa wale matawi wenyewe walikuwa wanaweka ZAZUUUU.....chezea ENZI weye!! ;)

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More