Monday, February 14, 2011

JASMINE'S BIRTHDAY PARTY

EVENT::BIRTHDAY
BIRTHDAY GIRL::JASMINE
THEME:: FASHION DIVA PARTY
VENUE::POLARIS MALL.....SWEET & SASSY...Columbus, Ohio

ugonjwaaaaaa unajielezaaa.....
mum & daughter...rahaaa eee
yes kwenye birthday ya watoto...games muhimuuuu
naona kulikuwa na special costume
hahahhaha Da Sopy ulijua kuwapa raha watoto...hadi natamani ivoooo
face paint haikukosekanaaa
yap misosi ilichabangwa kama kawaaa
HONGERA SAANA SIS SOPHY KWA KUKUZA.... UMETISHAAA party ya UKWE'E Jassy anajivunia kuwa na mama kama weye


0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More