Sunday, February 13, 2011

K.K.W mafuta, shampooo kwa wenye hitilafu za nywele!!!

YES!! NDIO...NI KKW.....Kizuri Kula na Wenzio...mie leo nimeona nishee nanyi hili....mafuta na shampooo hayoo ya PROFECTIV....KAMA PICHA INAJIELEZA.....WALIOKUWA NA HITILAFU YA NYWELE KAMA MIE.....SULUHISHO NDO ILO MBA NA KUKUZA NYWELE

INAPATIKANA::SHEAR ILLUSION MLIMANI CITY.....BEI POWAAAA
 HII INATIBU MBA ULIOSHINDIKANA NA PIA INAKUZA NYWELE....BIBI WE SITAKI KUWA KAMA MPIGA DEBE...GARI LISHAANDIKWA MWENGE KARIAKOO NA BADO ANAPIGA DEBE kusoma huwezi hata picha huoni KACHUKUE KOPO LAKO TUTAHADITHIANA....hata usiporudi hapa mashost zako watakuuliza uwahadithie


 HAYA NI MAFUTA  KWA NYWELE ZILIZOKATIKA...MCHEKI SHOST HAPO KATI ALIKUWA KINYONYOKEEE.....AFTER AMETISHAAAAA


 HII NI SHAMPOOOO......HEBU JIPATIEE SETI YAKO UONDOE HITILAFU YA NYWELE ZAKO SHOST

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More