Monday, February 21, 2011

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI!!


 MCHAKATO UNAENDELEA AMBAPO MIHADHARA NA MIDAHALO  TOFAUTI KUIELEZEA HII SIKU INAFANYIKA , ILI KUELEZEA HII SIKU NA KUKUSANYA MAJINA HADITHI ZA WANAWAKE WENYE MCHANGO KATIKA JAMII NA NKATIKA KUUFANYA MCHANGON WAO UTHAMINIWE NDIO WANAKUHITAJI WEWE MWANAMKE USHIRIKI VYEMA KATIKA SIKU IYO AMBAPO KILELE CHA MAADHIMISHO KITAKUWA MARCH 7 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA.


HUU MDAWALO ULIFANYIKA CHUO KIKUUU MLIMANIIII AMBAPO WANAWAKE WENYE MCHANGO KATIKA JAMII HIYO WALIPATIKANA
                                          
 MAMA ROSE YEYE NI MHUDUMU AMBAYE YUKO HAPO KWA MIAKA 30 SASA AKIFANYA IYO KAZI KWA MLIOSOMA HAPO MTAKUBALIANA NAO...NAO WANAUTAMBUA MCHANGO WA MAMA ROSE NA WANATAKA UTHAMINIWE KATIKA JAMIII
HUYU NI MBUNIFU WA MAVAZI SUBIRA AMBAYE NI MWANAFUNZI  WA CHUO AMBAYE ZAIDI YA KUWA MWANAFUNZI PIA NI MBUNIFU NA ANATUMIA MUDA WAKE NA BOOM LAKE KUKITUMIKIA KIPAJI CHAKE...AMBAPO MWAKA JANA ALISHINDA MBUNIFU  ANAYECHIPUKIA SWAHILI FASHION WEEK.....WENZIO WALITAMBUA MCHANGO WAKE NA WAKATAKA UTHAMINIWE

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More