Sunday, February 27, 2011

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI....ZEZE AHOJIWA NA WANAWAKE LIVE!!

                          YES......mtangazaji ni JOYCE KIRIA.......KIPINDI NI WANAWAKE LIIIVEEE!!
         KIVAZI NI BACK TO AFRICA.coming sooon mambo haya mtaani kwenu!!..............KIKIKANDAMIZIWAAA NA KITU CHA 'KT'
 MAHOJIANO YALIKUWA YANAHUSIANA NA SIKU YA WANAWAKE DUNIANIII......KILELE NI TAREHE 7 MARCH, MNAZI MMOJA....BADO NI KATIKA KUKUSISITIZIA WEWE SHOSTITOOO HII SIKU INAKUHUSU NA TUITUMIE KUONESHA MICHANGO YETU NA KUIFANYA ITHAMINIWEEEEE
KIPINDI KITARUSHWA JUMANNE HII  KATIKA RUNINGA YA EATV CHANEL 5 SAA TATU USIKUUUU, USIBONYEZEEEE KIDUDEEEEE

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More