Monday, February 21, 2011

NAWAONJESHAAAA.............STYLE MOTOMOTO

BAADHI YA VITU AMBAVYO VITAUZWA SIKU YA STYLE MOTOMOTO ....KATIKA FASHION SHOW YA STYLE MOTOMOTO TAREHE 25 IJUMAA HII, AMBAPO NI ZAIDI YA KUANGALIA SHOW YA MAVAZI...PIA UTAWEZA NUNUA NGUO NA VIPODOZI PAMOJA NA VIKOLOMBWEZO KUTOKA KATIKA MADUKA YA JACKS COSMETICS, MIMI'S COLLECTION, AMINA'S DESIGN NA UNIQUE PEARL.....KADI NI KWA WAALIKWA TU NAWE UKITAKA TUKUPATIE KADI UJE USHOP ..NIBEEP NAMBA 0784 418941

                                 JACKZ COSMETICS CHUNGULIA HUMU

                               

                                           MAMBO UA UNIQUC PEAL HAYA

AMINA'S DESIGN


0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More