Monday, February 14, 2011

RED CARPET......GRAMMY AWARDS

MH Toni na huu mbururo wake bado naufikiria nahitaji kuona video clip kwa Joan Rivers ;)
lady gaga AMETISHAAAAAAAAA

ah my riri......niseme nini mie?!!
chezeyaaa Willow na DIGAZAAAA hapo unyayoooni
mh Jenny...hii diet inaondoa laza ya machooo
Lulu swagga zako hizi
kim K hajanikuna safari hii
vimini vilichukua nafasi kama kawa
ah Mama wawili...still rocking
back to afrikaaaa
hapa chichemii...sababu kila mtu anajuaaa ambacho ningesema

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More