Tuesday, February 15, 2011

STYLE MOTO MOTO!!!

TANZANIA MITINDO HOUSE INAKULETEA STYLE MOTO MOTO
 ONYESHO LA MAVAZI YA MBUNIFU  JAMILA SWAI AKISINDIKIZWA NA BINTI AFRIKA, KIM DEAN NA FRANKO DESIGNS

TAREHE 25 MWEZI WA PILI 2011 KATIKA HOTELI YA DOUBLE TREE BY HILTON
KIINGILIO NI KWA MUALIKO TU

VILE VILE KUTAKUWA NA MAUZO YA JEWELERY, VIATU, COSMETICS, HANDBAGS KUTOKA KWA UNIQUE PEARL COLLECTION, MIMI’S COLLECTION, JACKYZ COSMETICS NA AMINA DESIGN

PIA NGUO ZA WABUNIFU WA HAPA NYUMBANI ZITAUZWA

STYLE MOTO MOTO INADHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA LTD,I VIEW MEDIA,QUICK PRINT,EVENTLITES,VAYLE SPRINGS LTD NA DOUBLE TREE BY HILTON
                                                     SHOST HAKUNA KIINGILIO WALA MCHANGOOO HAPA UNACHOTAKIWA NI WEWE KUBEBA WALLET YAKO MARIDADI NA KISHA UNUNUE VITU  KAMA MAPAMBAPO,,,,,,VIPODOZI NA ACCESORIES KUTOKA KWA WAUZAJI MAARUFU HAPA MJINIII......ENDELEA KUZURU BLOGUNI UTAONA VITAKAVYOKUWEPO MAUZONI SIKU IYOOOOOOOOOOO.......mtoto wa kike Shopping Bibi 

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More