Sunday, February 20, 2011

TINY COLLECTIONS.......DUKA LA VIWALO VYA WATOTO!!


 


 HASWAAAAAA!!NDIO NI DUKA LA VITU VYA WATOTO KUTOKA UINGEREZAAAA....INAANZIA NGUO ZA MTOTO MCHANGA HADI KIJANA WA HAJA, ANAPATIWA KUANZIA NGUO ZA KUSHINDIA MTOKO NA ZILE ZA SIKU MAALUM NAZUNGUMZIA BIRTHDAY,UBARIKIO NA HATA MAULID PAMOJA NA UNIFORM ZA SHULE....hakuna kujiulizaaa wapi ntapata kitu cha mwanao jibu sasa ni 
TINY COLLECTIONS
 PIA WANAPOKEA ODA MBALIMBALI UNAWEZA TEMBELEA MTANDAO WAO KUONA ZAIDI BIDHAA NA KUAGIZA ONLINE 24/7
WANAPATIKANA::KAWAWA ROAD, KATI YA MWANAMBOKA PETROL STATIONS NA KONA YA MWANANYAMALA
MAWASILIANO::+255 654 550 675
EMAIL::orders@tcollections.com
 

NA HII NDIOO RAMANI YETU YA KUKUFIKISHA TULIPO JENGO LA TATU KUTOKA MWANAMBOKA PETROL STATION NA KONA YA MWANANYAMALA KAWAWA ROAD.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More