Wednesday, March 2, 2011

MAMAA MIAAAAAA

 JITINGIE KIVAZI CHAKO CHEUPEEEEE PEEE SI WAJUA NI WHITE RIBBON..NA HII SIKU INATUHUSU SISI KINA MAMA HATUNA BUDI KUISUPPORT SIKU SHUGHULI HII KWANII NI KWA AJILI YA KUHAKIKISHA UZAZI SALAMA
KIINGILIO:: 25,000
MAHALA::MOVEN PICK
DRESS CODE::WHITE
SIKU::MARCH 4
NYENGINE ZITAENDELEA MNAZI MMOJA KWA KIINGILIO CHA SHILINGI MIA TU.....MAMMAAA MIIAAAAA , TAREHE 5 MARCH
UJE UJIACHIIIIEEEEEEEEEEEE

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More