Tuesday, March 1, 2011

NAOMBA MTUAMBIE RANGI YA KITCHEN

mambo niaje ?mimi nimekuwa nikifuatilizia sana 8020 karibu kila siku kujua mambo mbalimbali zeze uko juu ma dear friend na rafiki yangu mmoja sita penda kumtaja jina ana kichen party yake mwezi wa nne tunaomba mtushauri rangi gani nzuri zitakazo tupendeza mie kama msimamizi wake yani matron yy bi shost wangu ni mwembamba na maji ya kunde na send off sijuw rangi gani nzur ambazo hazipo common sana na hata mkiweza kutuambia mtu atakaye tudesignia kitu cha ukweli na bling bling nyingine km viatu na mambo yote yanayohusu kitchen party na sendoff

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More