Thursday, March 3, 2011

NEW ARRIVALS........@WEDDING BELL


 HAYAA WARI WANGU WATARAJIWAAA MZIGO NDO HUOOOOO UMESHUSHWA HUKO WEDDING BELLS, AMBAKO KUNA NGUO ZA HARUSI ZA NGUVU PAMOJA NA VIBANDIKO NA VIBAJAJI VYA SWAGGA NGUO ZA  MATRON NA MAIDS WENU....NI KIASI CHA WEWE KUFIKA NA KUCHAGUA TU......KWA KIFUPI SEKESEKE LA NGUO LIMEISHA ...jihesabie nguo unayoo WE KOMAA NA MICHANGO TU ;)
WANAPATIKANA:: MSASANI JENGO LA FRONTLINE KABLA YA KKKT CHURCH
MAWASILIANO::: +255 715 943 333                                         

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More