Thursday, February 17, 2011

ANGALIZO......HAYA MAGAUNI KUBURUZIKA HV NDO SWAGGA?!!

HEBU TUAMBIANE JAMANI MIE GAUNI LIKIWA REFU KIDOGO TU NAKIMBILIA KWA FUNDI ASUMANI AKANIPUNGUZIE NA HIVI HIGH HEELS MGOGORO NDO KABISAAA SITAKI LIRUKE KISIGINO, ILA SIKU MBILI HV NAONA MAFASHIONISTA NA MAGAUNI YANA WABURUZIKA HADI NAANZA KUPATA WASI WASI UTEMBEAJI WAO UNAKUAJE.....haya tujuzaneeeee

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More