Wednesday, February 2, 2011

FLAT SHOES MZUKAAAA!!

Mitsuka na flats zake na kanoga mbayaa. FLATS si kwa wajawazito tu hawa weye waweza tinga flats na UKAROCK....

ANGALIZO:: ZILE PARTY ZETU ZA GARDEN FLATS NDO MWAKE MWAKE BABAAKE MAMBO YA KUTINGA MINING'INIO GARDEN KAMA SI MCHANGANI NDO YALE MAMBO YA SOX KUVUKA KIATU CHABAKI;)...kiatu kinanaza mchangani wahangaika kutoa ubandue soli bure

hebu wadau TUUNDENI JINA LA FLATS SHOES KI-8020 plz
xoxo

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More