Wednesday, February 2, 2011

REDDS......NDIYE AKUPENDAYEEE

                          HAWA WADAU  TUKIWA TUNAELEKEA SIKU YA WAPENDANAO....KINYWAJI CHA REDDS  NACHO KINAKUPA NAFASI YA KUFURAHI NAWEWE KATIKA MWEZI HUU MAHSUSI WA KUONESHANA MAPENZI  a.k.a MALOVEEEE 'MAMBO YA VALENTINE'

NTAKACHOFANYA.......ILI WEWE UWEZE PATA NAFASI YA KUFURAHI NA ZAWADI ZA  REDDS MWEZI HUU.....NIANDIKIE COMMENTS AU EMAIL via shamyomy @yahoo.com NA NIAMBIE UMEJIANDAAJE KUSHEREHEKEA VALENTINE YA MWAKA HUU.....ATAKAENIGUSA NITAMPA ZAWADI TOKA REDDS................NASEMA  TENA MWEZI HUU NI MWEZI WA REDDS......

AKUPENDAYE REDDS ORIGINAL..utumapo comment usiache niandikie id yako ambayo itanifanya mimi nikutambue wewe bila chenga
vigezo na masharti kuzingatiwa

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More