Monday, February 7, 2011

HAPPY BIRYTHDAY.......SOPHY

 JANA ILIKUWA BIRTHDAY YA SOPHIA AK.A MAMA NAYLA....Nae alisherehekea siku yake kwa kwenda lunch na shost wake @ Moven Pick na kisha kupata kinywaji @ Double Tree


Nimevutiwa kuwaona KATOKA NA KITU CHA BACK TO AFRICA .......shostitooo kitengeee Bibi....HUYU nae ni mtu wa FLAT MZUKA...aka KANYAGA TWENTE 'KT' kwa sanaa...Nadhan tunashindana PEA ;)
                                                  

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More