Wednesday, March 2, 2011

TANZANIA MITINDO HOUSE....WAJA NA LIBENEKE


TANZANIA MITINDO HOUSE INAPENDA KUWAARIFU WADAU KUWA

 TUMEANZISHA BLOG AMBAYO ITAKUWA INAHUSU MAMBO YA MITINDO,

UBUNIFU WA MITINDO YA MAVAZI, MAONYESHO YA MAVAZI, KAZI ZA

 WABUNIFU NA WANAMITINDO WA HAPA NCHINI

TUNAOMBA TUSHIRIKIANE KUKUZA SEKTA YA UBUNIFU WA MAVAZI NA MITINDO KWA UJUMLA HAPA KWETU

KARIBUNI WADAU – tmhmitindo.blogspot.com

KWA MAWASILIANO – 0755 5510770 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More