Tuesday, November 30, 2010

TUMPIGIE KURA PETER ...GO TANZANIA GOOOO

NDIYE MUAKILISHI PEKEE ALIYEBAKI  KWENYE SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME LINALOFANYIKA  NCHINI KENYA .... AKIPEPERUSHA BENDERA YA NCHI , NA ANAWEZA, TAFADHALI MTANZANIA MPIGIE KURA PETER MSECHU ASHINDE SABABU ANAWEZA, AKISHINDA YEYE IMESHINDA TANZANIA......KUPIGA KURA ANDIKA  TUSKER9  KWENDA  NAMBA 15522
                                              
hadi jaji IAN mwenyewe kamkubali

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More