Wednesday, December 22, 2010

FASHIONISTA OF THE YEAR!! 2010

                                                                VANESSA  MDEE
                                                                 JOKATE MWEGELO

                                                                SARAH...SHAA
ZAMARADI MKETEMA
      PENNY




































HAYA MDAU HAO NDO KWA MUJIBU WA 8020 FASHIONS TULISIMAMIA KWENYE KIZAZI KIPYA ZAIDI  NA TUKAANGALIA WALE WENYE UTHUBUTU 'DARING IN FASHION'....WANAKUFA NA FASHION 'THEY  TAKE RISK', TUKITOFAUTISHA NA WALE MAFASHIONISTA WETU WA MWAKA JANA...AMBAO TULIANGALIA WANAVYOTOKEA TU KIMUONEKANO WAO ZAIDI NA WENGI WAO SI RISK TAKER NA HUWA WANADRESS SAFE ZAIDI no kujilipua, HAYA NAWE KAMA UNA FASHIONISTA WA KIZAZI KIPYA AMBAO NI DARING IN FASHION  AU TUANDIKIE JINALE AINGIE KATIKA LIST YETU KWA KU2WEKEA  COMMENT NA KAMA UNA PICHA TUTUMIE
via shamyomy@yahoo.com 
....labda nikiwapa mfano wa watu maarufu wa aina hii NILOTUMIA KAMA KIGEZO NI (MY RIRI) RIHANNA,LADY GAGA,WILLOW SMITH...kwa Bongo FIDELINE IRANGA ,LADY JAY DEE watu HAWA WAVAAPO NGUO ..they always make a statement and they have Unique styles, hawajali wewe unawafikiria nini ,they r risk taker!!
lol!! nimejitahidi kudadavua,hope mmenielewa;)

shukran
KHERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA
XOXO
MAMA IQ

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More