EVENT::SHARE & CARE
ORGANIZED BY:: VODACOM FOUNDATION
VENUE::LEADERS CLUB
NOTE:: MWEZI DECEMBE WOTE VODACOM WATAKUWA WANASHARE NA KUCARE TANZANIA NZIMA.....Inapendeza eeeee
|
BIG BOSS Dietlof Mare AKIBABITHI zawadi mtoto Rahma aliyepakatwa na da Rukia mtingwa Meneja Udhamin |
|
KIDUKU KILICHEZEKA KAMA KAWA |
|
watoto woote 600 ambao ni yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijiniwaliondoka na mijizawadi yakiwemo madaftar, vitoweo, magodoro, sabani...kwa ufupimahitaji yote muhimu |
|
ILIKUWA NI FULL KULA BATAAA ...KWA WATOTO WAPATAO 600 WALIJUMUKA KUTOKA VITUO MBALIMBALI......BIG UP VODACOM |
MTOTO MIRIAM ALIWABURUDISHA WATOTO WENZIE
Mkurugenzi mwamvita akiwa ameambatana na mwanae Malaika
0 comments:
Post a Comment