USIKU tulipata dinner yetu freshhhhhhhhhhhhhhhhh
WENYEWE TULILALA HAPA RAS SHUNGI BEACH RESORT
BIBI KUNA JET KAMA ILEE TULIKOFANYIA HARUSI YA SAYONCE NA JIGGA....haya sarah anniversary tuje huku plzzzz au waonajeeee ;)
LUNCH 2KAPELEKWA HUKO PALIPOZUA JAMBO NA KUANZISHA HISTORIA....NI
THE ROCK ;)
THE ROCK.............U ROCK MY DAY!!!!!!
DISMINDER, ALITUFUATA KUTUPELEKA LUNCH.....KUFIKA TWAAMBIA TUENDAPO NDO PALEEE,AH KILA MTU AKAGAIRI NA KUSEMA TUKALE HATA UROJO STONE TOWN KAMA SI KUSUBIRI WA JIONI FORODHAN ;)
TUKAAMBIWA KUNA BOTI NYIE ACHENI MAPEPE,IKABIDI DA KHADIJA AANZE KUPANDA MAANA YE NDO TULIONA UOGA UMEZIDI NA ANATULETEA GOZI GOZI, JAPO NASI ROHO ZILIKUA ZADUNDA KAMA MPIRA WA KONA ;)TUMSHUKURU SHABAN KWA KUTUTOA UOGA MAANA TUNGEJUTAGE KUPAKOSA HAPA...shukran Shaban ubarikiwe mno.
MWISHOWE NA KINA SISI TULIPANDA WENYEWE KINA DISMINDER NA MEG AKAAA WAMETULIIIA,CHEKI IQRA MOYO UNAGOMA MWILI WATAKA.. WENGINE TULISHADAKWA NA ULE MSEMO WA MR EBBO WA BORA SIMBA ALE MIMI SI SAMAKI JAMANIIIII.........SO TUKAWA TUMEBADILI HISTORIA KWA MARA YA KWANZA TUPANDA HAKO KABAJAJI KA MAJINI ;)
HAOOOOOOO......HAKUNA DARAJA BIBI HAPA KAMA ILE YA GIRRAFFE NI KITU JUU YA JIWE KIMEZUNGUKWA NA MAJI WANASEMA ASUBUHI AU JIONI WAKATI WA MAJI KUPWA AU KUJAA UNAWEZA TEMBEA KWA MIGUU KUFIKA HAPA
KUTOKANA NA HOFU ILE YA HAPA NA PALE KUFIKA TU MLANGONI TUKAPATIWA WELCOME DRINK (ni moja ya huduma zao naona waliiweka mahsusi kwa wageni wa style yetu maana tulijishauri nusu saa nzima twende au tusiende.....)......HAKIKA TULIPOOZA ROHO TUKASAHAU DAKIKA ILOPITA TULIKUWA TUNASHIKANA KUPITA MAJINI
HAHAHAH KWA KWELI KUFIKA JUU MANDHARI HIII TUKASAHAU KABISAA KAMA TUPO JUU YA JIWE KAMA SI KICHUGUU , IKAWA NI FULL KUJIACHIA MIE NIPIGE PICHA HAPA HUYU PALE, nikamkumbuka mwalimu wangu alipendelea kusema msemo wa...
WOW!! AMAZING!!
JAMANI .....SHEAR HAIR & BEAUTY MNAONAJE MANDHARI HII KWA PHOTOSHOOT. RAQEY AKA JIGGA MZEE WA I-VIEW UPO HAPAAA......GRM PRODUCTION NI AJEEE?!!nami nikajaribu kujisexishaaaaa.....Havijawa hapo vip?!! ;);)
SHUKRAN KWA WAHUDUMUM WALITUPOKEA ,NA KUTUHUDUMIA VIZURI MNOOO KHADIJA MAMA WA MAPISHI HADI ALIOMBA RECIPE YA SOSI YAO MASKINI WALIMUANDIKIA KABISAAAA .....WAPI UTAPATA HUDUM IYO...wengine wanakwambia ukijua pika hutokuja kula ...ila THE ROCK AKAA
WAMILIKI WA THE ROCK WANA HOTEL YAO NYENGINE, KUTOKANA NA HUDUMA TULIZOZIPATA KULE TUKAOMBA TUPITE TUPAONE ILI NEXT TYME .....inshallaw TUFIKIE HAPO NA MAZINGIRAAA....NDO HAYAA YALI2VUTIA SAAANA
PANAITWA DONGWE OCEAN VIEW HEBU CHEKI....HAIJALISHI WE UKIWA WA KWANZA KUTANGULIA KABLA YANGU NA UKANIMUVUZISHIA PICHA VIA shamyomy@yahoo.comKWA RAHA HIZI NA KUTEGUA NADHIRI YANGU NILOJIWEKEA YAKUTOPANDA KIBAJAJI CHA MAJINI......NASHINDWA HATA MANENO YA KUKUSHUKURU DISMINDER WA UKWE'E KUTOKA FISHERMAN TOURS AMBAO WALIHUSIKA SAANA NA HII SAFARI YETU ,BILA KUMSAHAU MENEJA WA THE ROCK MR SHAIBU.....JAMANI ....KWA STYLE HII, HATUNA BUDI KUHAMASISHANA UTALII WA NDANI , UKIPENDA NA UNATAKA KUTEMBELEA ZANZIBAR UENJOY HEBU MCHEKI DISMINDER.....hakika si mtu wa kumind ivyooo (lafuthi za znz)
KWA NAMBA :: +255 773 662662 AU +255 024 2238791/2
AU WAANDIKIE EMAIL:: shangwe@ fishermantours.com AU reservations@fishermantours.com
0 comments:
Post a Comment