Wednesday, January 19, 2011

ANAOMBA MSAADA WENU

mambo shamim?! pole na majukumu ya kila siku ya maisha.
mi ni mpenzi mzuri wa blog yako na navutiwa na kazi zako kwa ujumla.
sasa dada yangu nilikua nahitaji msaada wako, nimekuwa nasumbuliwa na muwasho ambao unaambatana na kutokwa na uchafu mweupe kwenye vagina 4 a week now. mwanzo nilidhani ni infection nimeipata kutokana na ma2mizi ya pad ambazo nimeanza kuzitumia recently lakini naona kama tatizo linaendelea. nime2mia sabuni ya protex  na antiseptic/hygene powder ili iuwe bacteria kama ndo wanao niletea haya matatzo lakini wap, tatizo lipo palepale.
nilikua naomba ushauri wako ni2mie dawa za aina gani ile nipone kwasababu nakosa raha.
nategemea jibu na ushauri mzuri toka kwako na kwa yeyote yule atakaenishauri.
 ni mimi J

"DADA MIE NAONA HII IMEKAA KIHOSPITAL ZAIDI, ITAKUWA NI FUNGAS kaonane na DR, Ni kawaida tu kwa watoto wakike,kutoka na kutumia vyoo vya jumuiya."
zeze


0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More