Wednesday, January 19, 2011

BIG BROTHER IYOOOOO

bba inaanza tarehe moja may mwaka huu na form za kujiunga zinapatikana ofc za dstv popote ulipo au unaweza ukajaza online au kuidownload fomu yenyewe na kuijaza kisha kupeleka kwenye ofisi za dstv..fomu zinapatikana www.bigbrotherafrica.dstv.com na mwisho wa kupokea applications ni tarehe 27 february!!!wahimize wachangamkie bwana esp wadada!!

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More