ukishop nao ...mzigo utaondoka nao humu...full swagga
mahereni kwa Ukwe'e
Macocktail rings ndo usisemeee
bangles za kufa mtuuu
necklass ndo balaaa
KUONA ZAIDI YATAKAYOJIRI KWENYE STYLE MOTOMOTO ....FASHION SHOW ZURU HUMU
KWA MLIOALIKWA.....MZINGATIE NA MUDA TUPATE MUDA WA KUSHOP NA KUPATA PICHA ZA RED CARPET KABLA YA SHOW KUANZAA SAA 2 USIKU.
MDAU KAMA UTAPENDA KUPATA MUALIKO WA SHOW YA MWEZI WA MARCH TUANDIKIE HUMU info@mitindohouse.org ....SABABU SHOW HIZI HAKUNA KIINGILIO NI KWA WAALIKWA TU.....PESA YAKO YAKO UTAKUJA SHOP NA UNIQUE PEARLS, AMINA DESIGN,JACKZ COSMETICS NA MIMI'S COLLECTION PAMOJA NA KUNUNUA VIVAZI VITAKAVYOONESHWA KWENYE SHOW......
0 comments:
Post a Comment