Tuesday, March 1, 2011

RED CARPET .....OSCARS ACADEMY AWARDS

NIMEPENDA RANGI YA NGUO
HALLE B HII IMEKAA KIBIHARUSI
KITU LACE
SIPENDI.....MIKONO MIREFU ILA HII IMENIBAMBAA....cjui na kashepu kinachangia
color combo
my best dress
na hii inafuatia
imetulia mahala pake
hii inanikumbusha hallowen ;)
bega mokoooooo

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More